
Kocha Azam FC aingiwa ubaridi
KOCHA wa Azam FC, Rachid Taoussi ameeleza masikitiko yake kufuatia matokeo ya timu hiyo katika mchezo uliopita wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mashujaa kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma ambako walivutwa shati na wenyeji wao. Taouussi amesema walikuwa na matarajio ya kushinda mchezo, lakini mambo hayakuwa vile ambavyo walitarajia. “Kiukweli tumeumizwa na matokeo. Tulikuja…