Tanzia

  Safari ya mwisho ya Raymond Moyo Isaac Anderson Mwamusiku huko Maryland nchini Marekani Ni mnyakyusa wa Usale,Kyela,Mkoani Mbeya Mwili wake kuletwa nchini wiki ijayo kwa maziko Yalikuwa majira ya usiku mwingi,lakini kwa Raymond huo ulikuwa ndiyo muda wa kawaida wa kutoka kazini siku zote.Baada ya kutoka kazini alikuwa akiendesha muda mrefu kurejea nyumbani kwake….

Read More

Mbowe, Lissu, Lema wakamatwa kwenye maandamano Dar

  JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata, Freeman Mbowe Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Makamu wake, Tundu Lissu, Godbless Lema katika maandamano yaliyopangwa kufanyika leo jijini hapa. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam … (endelea). Mbali na viongozi hao pia Polisi wamemkata ni Rhoda Kunchela, Mwenyekiti wa…

Read More

MAANDAMANO CHADEMA: Polisi Dar yakamata waandishi wawili wa Mwananchi

Dar es Salaam. Polisi jijini Dar es Salaam wamewakamata waandishi wa habari wawili wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) kwa nyakati tofauti wakati wakiripoti maandamano ya amani yaliyoitishwa na Chadema. Hata hivyo, mmoja ameshaachiwa. Mpaka sasa jeshi hilo linamshikilia Lawrence Mnubi ambaye ni mpiga picha jongefu (videographer) wa Mwananchi, aliyekuwa eneo la Msimbazi akitimiza…

Read More

Polisi wasema wamekamata 14, akiwamo Lema maandamano ya Chadema

Dar es Salaam. Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema wanawashikilia watu 14, wakiwemo mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe, Makamu Mwenyekiti-Bara, Tundu Lissu na mwenyekiti wa chama hicho kanda ya Kaskazini, Godbless Lema. Muliro amesema watu hao wamekaidi amri halali ya Polisi ya kuacha kushiriki maandamano, jijini Dar es…

Read More

Korea Kusini yaonya kuhusu hatua watakaczo chukua dhidi ya puto za takataka kutokea Pyongyang

Korea Kusini ilisema Jumatatu itachukua “hatua madhubuti ya kijeshi” ikiwa mtu yeyote atauawa na wimbi la puto za kubebea taka zinazorushwa kuvuka mpaka na Korea Kaskazini. Pyongyang imetuma zaidi ya puto 5,500 zilizobeba shehena za taka tangu Mei, na kutatiza safari za ndege, kusababisha moto, na hata kugonga majengo ya serikali Kusini. Pyongyang inasema mbinu…

Read More

Jeshi la polisi linawashikilia viongozi wa CHADEMA pamoja na waliokaidi tamko la kupanga na kufanya maandamano

Kamanda wa Kanda Maalum DSM Jumanne Muliro amesema wanawashikilia watu 14 akiwemo Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman MBOWE, Makamu Mwenyekiti Tundu Lissu na Mwenykiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini Godbless Lema. Kamanda Muliro  amesema hayo mbele ya waandishi wa habari hii leo Septemba 23 tarehe tajwa ya maandamano hayo Magomeni Mapipa jijini Dar es Salaam.

Read More