Tamasha la utamaduni lilivyobeba umati Ruvuma

Songea. Kama ungepita nje ya Uwanja wa Majimaji mkoani Ruvuma, shangwe zinazosikika ungedhani kuna mchezo wa mpira wa miguu unaendelea. Nderemo na vifijo vinavyosikika vinaakisi furaha ya wananchi ndani ya uwanja huo, baada ya burudani mbalimbali za muziki na kitamaduni zinazopamba tamasha la tatu la utamaduni nchini. Isingewezekana kukaa hata sekunde bila kudemka, kwani kila…

Read More

MKURUGENZI MKUU TCAA, MSANGI, AKAGUA JENGO JIPYA LA KUONGOZEA NDEGE UWANJA NDEGE SONGEA LINALOTARAJIA KUZINDULIWA NA RAIS DKT. SAMIA LEO SEPTEMBA 23, 2024

 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Salim Msangi (kulia), akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Abdul Mombokaleo, wakati alipokuwa anawasili Uwanja wa Ndege wa Songea, Mkoani Ruvuma, Septemba 22, 2024, kwa ajili ya kukagua jengo jipya la kuongozea ndege katika uwanja huo, ambalo linatarajiwa kuzinduliwa…

Read More

Waziri Prof.Mkenda azindua kituo cha afya kilichogharimu Mil.500 wilayani Wanging’ombe

Wananchi wa kata ya Makoga halmashauri ya wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe wameishukuru serikali kwa ujenzi wa kituo cha afya kilichogharimu Sh.500 Milioni na kudai kuwa kitawapunguzia adha ya kutembea umbali mrefu kufuata huduma ikiwemo za upasuaji kwa wakinamama wajawazito. Wameeleza hayo wakati wa uzinduzi wa kituo cha afya Makoga kilichopo wilayani Wanging’ombe mkoani Njombe….

Read More

Mbowe ajitokeza Magomeni, akamatwa na Polisi

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe amekamatwa na Polisi eneo la Magomeni, jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Septemba 23, 2024. Kabla ya Mbowe kukamatwa, alifika eneo hilo akiwa na gari dogo, kisha kuanza kuzungumza na waandishi wa habari. Septemba 11, 2024, Mbowe alitangaza kufanyika maandamano ya kulaani matukio ya watu kutekwa…

Read More