Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akamatwa na polisi

Kutokea magomeni Mapipa ambapo kulitarajiwa kuanza kwa maandamano ya amani ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA  kuhusu Serikali kuzingatia maoni na mapendekezo ya Wadau mbalimbali kuhusu kushinikiza serikali juu ya kuchukua hatua dhidi ya utekaji na upotevu wa watu nchini ambapo Polisi wamemkamata saa chache tu Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na…

Read More

Kauli ya Kamanda Muliro maandamano ya Chadema

Dar es Salaam. Kawaida jiji la Dar es Salaam watu huanza pilikapilika kuanzia saa nane hadi saa tisa usiku. “Wanaokwenda shule na kwenye shughuli mbalimbali za kiuchumi kule Feri, Kariakoo na meeneo mengine wameshaenda na hali ni shwari. “Wanaokwenda hospitali nao wanaendelea na zile safari zao. Kwa ujumla, shughuli mbalimbali zinaendelea vizuri kama kawaida. Mpaka…

Read More

Mpango shirikishi kwenye kilimo nchini wazinduliwa

Taasisi ya kilimo Tanzania, Africa Food hivi karibuni ilizindua mpango kabambe na wa kimkakati wa kuleta mapinduzi katika sekta ya kilimo kwa mtindo wa ushirikishwaji kwa wadau wote wa kilimo nchini ili kuleta tija kwenye sekta hiyo. Akizungumza na kwenye uzinduzi rasmi wa mpango huo, Mbunge wa Jimbo la Mahonda , Mkoani Kaskazini B, Mheshimiwa…

Read More

NI BALAA! VODACOM YATANGAZA WASHINDI WA DROO YA NANE

Meneja wa duka la Vodacom jijini Mwanza Jumeo Iddi (kulia) akimkabidhi mfano wa hundi ya Shilingi milioni moja mshindi wa droo ya nane ya Kampeni ya Ni Balaa, Kila Mtu ni Mshindi Bw. Seleman Benjamin (kulia) katika hafla iliyofanyika dukani hapo mwishoni mwa wiki iliyopita. Ili kuibuka mshindi endelea kufanya miamala kwa kutumia M-Pesa super App au kununua vifurushi kwa kupiga *150*00# Mshindi wa…

Read More

Wakili wa Chadema: Lissu amekamatwa nyumbani kwake Tegeta

Dar es Salaam. Wakili wa Chadema, Hekima Mwasipu amesema Makamu Mwenyekiti wa Chadema-Bara, Tundu Lissu amekamatwa na polisi asubuhi ya leo Jumatatu, Septemba 23, 2024. “Lissu amekamatwa nyumbani kwake Tegeta na amepelekwa Kituo cha Polisi Mbweni na mimi kama wakili niko njiani nakwenda huko kujua sababu za kukamatwa kwake,” amesema Hekima alipozungumza na Mwananchi. Jitihada…

Read More

Kiluvya kutumia maujanja ya Yanga

WAGENI wapya wa Ligi ya Championship msimu huu Kiluvya United ya mkoani Pwani, imetamba kufanya vizuri huku ikiweka wazi imefanya maandalizi ya kutosha kuleta ushindani kwa kutumia mbinu za mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara timu ya Yanga. Katibu mkuu wa timu hiyo, Amri Bashiru alisema, licha ya ugeni wao katika Ligi hiyo ila wapinzani…

Read More