
Sheva tumaini jipya Mbuni FC
KOCHA Mkuu wa Mbuni, Leonard Budeba amesema, licha ya kikosi hicho kufanya usajili bora kwa msimu huu ila moja ya nyota anayempa matumaini makubwa ya kufanya vizuri ni mshambuliaji, Miraji Athuman ‘Sheva’ kutokana na uzoefu aliokuwa nao. Sheva amejiunga na timu hiyo msimu huu huku akikumbukwa zaidi baada ya kutamba na klabu mbalimbali nchini zikiwemo…