Kelvin John bado kidogo Stars

NYOTA wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga klabu ya Aalborg BK ya Denmark, Kelvin John amekingiwa kifua na wadau mbalimbali, huku wakihoji ni kwa nini haitwi timu ya taifa ‘Taifa Stars’. Mshambuliaji huyo kabla ya kujiunga na Aalborg aliichezea Genk ya Ubelgiji alikoitumikia pia nahodha wa Stars, Mbwana Samatta. Kelvin amekuwa na mwanzo mzuri tangu alipojiunga…

Read More

Mnoga mdogo mdogo Uingereza | Mwanaspoti

BEKI wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga Salford City inayoshiriki Ligi Daraja la Pili England, Haji Mnoga anakiwasha kwenye klabu yake hiyo mpya na hadi sasa aimeichezea mechi nne. Mnoga ambaye hakuitwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ kinachocheza mechi za kufuzu Afcon 2025 za Morocco, amekuwa na mwanzo mzuri na kikosi chake hicho…

Read More

Polisi watanda Ilala Boma kuzuia maandamano ya Chadema

Dar es Salaam. Hali ilivyo asubuhi ya leo   Jumatatu Septemba 23, 2024 eneo la Ilala Boma, jijini Dar es Salaam ambapo Polisi wa kutuliza ghasia wakiwa wametanda kudhibiti maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), yanayolenga kuishinikiza Serikali kuchukua hatua dhidi ya utekaji na upotevu wa watu nchini. Septemba 11, 2024 Mwenyekiti wa Chadema,…

Read More

Vibatari vilivyozaa Soko la Makoroboi Mwanza

Mwanza. Ukifika jijini Mwanza kwa mara ya kwanza ukahitaji kununua nguo hususan ‘mitumba’ eneo utakaloelekezwa na wenyeji ili kujipatia bidhaa hiyo kwa bei rahisi ni ‘Makoroboi’. Makoroboi ni eneo linalopatikana katikati ya Jiji la Mwanza, likipakana na mlima ilipojengwa nyumba ya Gavana wa mwisho wa Tanzania, Richard Turnbull ambayo sasa imegeuzwa kuwa eneo la kihistoria…

Read More

Kuna njama za kupandikiza mamluki – Mnyika

  KATIBU Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, amedai kuwa kuna mkakati wa kuwapo mapandikizi yalioandaliwa na serikali, kuvuruga maandamano yao. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam  … (endelea). Katika ujumbe wake wa maandishi wa mapema leo Jumatatu, Mnyika anasema, “Nimepata taarifa ya kuwapo vijana walioandaliwa kushambulia Polisi. Lengo ni kuonekana Chadema wameanzisha fujo. Tuwadhibiti mapema.”…

Read More

Hatima dhamana ya ‘Boni Yai’ kujulikana leo

Dar es Salaam. Hatima ya dhamana ya Meya wa zamani wa Ubungo jijini Dar es Salaam, Boniface Jacob, maarufu Boni Yai inatarajia kujulikana leo Jumatatu, Septemba 23, 2024, wakati Mahakama itakapotoa uamuzi wa maombi ya Serikali ya kuzuia dhamana yake. Boni Yai, mkazi wa Mbezi Msakuzi, Dar es Salaam, mfanyabiashara na mwanasiasa ambaye aliwahi kuwa…

Read More

Polisi wazingira makazi ya Lissu

  NYUMBA ya Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Marndeleo (Chadema), Tundu Lissu, inadaiwa kuzimgirwa na Polisi. Anaripiti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam …(endelea). Taarifa kutoka mitandao ya kijamii ya Chadema zinaonyesha picha na video zinazodaiwa kupigwa nyumbani kwa kiongozi huyo, wakionekana maofisa wa Polisi waliovalia sare waliwa wamezingira nyumba yake. MwanaHALISI Online limeshindwa…

Read More

Gamondi: Hii ndo Yanga ninayoitaka

UKIMGUSA shabiki wa Yanga atakukera na maneno yao ya tambo juu ya kutinga makundi kibabe tena mara ya pili mfululizo, ikiwang’oa CBE ya Ethiopia kwa mabao 7-0 na sasa kocha wa timu hiyo, Miguel Gamondi ametamka anataka timu yake iwe hivyo. Kocha Gamondi ameliambia Mwanaspoti, kikosi chake kimecheza kwa kiwango bora na kwamba namna hiyo…

Read More