
Ligi ya Mabingwa Afrika: Yanga mikononi mwa vigogo
YANGA imetinga makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kishindo kwa msimu wa pili mfululizo ikiwa ni historia kwa klabu hiyo katika michuano hiyo ya CAF na sasa inasubiri kujua itapangwa na vigogo gani hatua hiyo mara baada ya kufanyika kwa droo Oktoba 7. Mabingwa hao wa Tanzania ilipenya hatua hiyo baada ya kupata ushindi…