
UJENZI WA KAMPASI YA UDSM LINDI WASHIKA KASI
NA EMMANUEL MBATILO, LINDI UJENZI wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam Ndaki ya Kilimo Kampasi ya Lindi unaoendelea kujengwa Ngongo Manispaa ya Lindi kupitia mradi wa HEET umefikia asilimia 23 ikiwa ni miezi mitatu tangu kuanza kwa ujenzi. Akizungumza na waandishi wa habari hivi karibuni katika mradi huo, Naibu Mratibu wa Mradi wa Elimu…