
Winga Mtanzania asimulia bato lake na Chomelo
WINGA wa Sisli Yeditepe inayoshiriki Soka la watu wenye Ulemavu Uturuki, Mtanzania Shedrack Hebron amesema wanapokutana wabongo wawili kuna bato sio la kawaida. Hebron anacheza ligi moja na Mtanzania mwenzake, Ramadhan Chomelo anayeichezea Konya na wakikutana wakiwa na timu zao inakuwa na bato la kipekee. Nyota huyo wa timu ya Taifa ya Walemavu ‘Tembo Warriors’…