
Kitabu cha Sokoine: Maagizo kwa viongozi wa umma yatolewa, ugumu kuanzishwa SUA
Dar es Salaam. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wa Tanzania, George Simbachawene ameagiza viongozi wa umma, kuhakikisha wanasoma kitabu cha hayati Edward Moringe Sokoine ‘Maisha na Uongozi Wake’ ili kujifunza utendaji uliotukuka. Sokoine, mmoja wa wanasiasa walioacha alama hasa katika mapambano dhidi ya rushwa na uhujumu…