
Lina PG Tour… Sasa ni mbio za farasi wawili
KUKOSEKANA kwa nyota watatu waliong’ara katika raundi ya tatu ya Lina PG Tour jijini Arusha kunaifanya raundi ya nne ya michuano hiyo inayoanza masaa 96 yajayo mjini Moshi kuwa mbio za farasi wawili kwa upande wa gofu ya ridhaa. Jay Nathwani alyeshinda raundi ya tatu kwa gofu ya ridhaa na Aliabas Kermali aliyemaliza wa pili…