
WAZIRI GWAJIMA APEWA TUZO NA JAMII FORUMS
📌 Aahidi kuendelea kuimarisha ushirikiano kati ya Serikali na Wananchi. 📌 Amshukuru Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kumuamini na kumpa nafasi na fursa ya kutumikia jamii. Na WMJJWM-DAR ES SALAAM Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima ametunukiwa Tuzo maalum na Taasisi ya Jamii Forums kama kiongozi anayepokea…