
Michepuko janga lingine kwa wanandoa
Dar es Salaam. Umedumu kwa muda gani kwenye ndoa au uhusiano wako? Katika maisha yote umewahi kuchepuka? Nini kilisababisha ufanye hivyo? Maswali hayo yanagusa sehemu ya tabia za wanaume wengi walio kwenye ndoa au mahusiano yaliyodumu, ambao aghalabu hujikuta wakishiriki mapenzi na wenza wa ziada ‘michepuko.’ Hali hiyo, inawafanya baadhi yao kujikuta wakishindwa kuchomoka katika…