Sanaa inayoendeshwa na AI huweka 'mazingira ya kidijitali' kwenye Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa – Masuala ya Ulimwenguni

Maumbo dhahania ya rangi ya kijani, chungwa na nyeupe hutiririka ndani na nje ya nyingine katika muundo usio na kikomo, usiorudiwa, pamoja na muziki tulivu ambao huleta athari ya kudadisi kwa wale wanaoutazama kwa muda mrefu sana (kama mwandishi huyu). Ni vigumu sana kwa wajumbe katika Wiki ya Kiwango cha Juu na Mkutano wa Wakati…

Read More

Rekodi kibao, Yanga ikitinga makundi Ligi ya Mabingwa

HISTORIA imeandikwa tena. Baada ya usiku wa jana Yanga kutinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa mara ya pili mfululizo ikiing’oa CBE SA ya Ethiopia, huku Clatous Chama akiendelea kung’ara katika michuano ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF). Yanga ikicheza kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, ilipata ushindi wa mabao 6-0 na…

Read More

WAZAZI NA WALEZI SHIRIKIANENI NA WALIMU WA MADRASA KUWALINDA WATOTO NA VITENDO VYA UDHALILISHAJI

NA FAUZIA MUSSA WAZAZI na walezi wametakiwa kushirikiana na walimu wa madrasa kuwalinda watoto wao na vitendo vya udhalilishaji ambavyo bado  vinaonekana kuwepo nchini. Mbunge wa Jimbo la Chaani, Juma Usonge Hamadi aliyasema hayo alipokuwa akizungumza na walimu, wazazi na wanafunzi wa madrasat Nuru-l-huda  wakati wa  ufunguzi wa madrasa  hiyo  uiyoambatana na kusherehekea  mazazi ya…

Read More

KATAMBI AKEMEA VIKALI VITENDO VYA UKATILI DHIDI YA WENYE UALBINO

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Patrobas Katambi,akizungumza  wakati wa kongamano la Binti mwenye Ndoto, lililolenga kupinga ukatili, mauaji ya watoto, wanawake na unyanyapaa dhidi ya Watu wenye Ualbino kuelekea kipindi cha uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu mwakani linalofanyika leo Septemba 21,2024  jijini Dodoma….

Read More

WALIOATHIRIWA NA UPEPO WAPATIWA MSAADA TUMBATU

NA FAUZIA MUSSA Serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali inaendelea kuzifariji familia 98 zilizoathiriwa na upepo mkali uliovuma katika kijiji cha Tumbatu siku za karibuni. Kufuatia tukio hilo lililotokea mwishoni mwa mwezi wa Agosti, Taasisi ya Sister Island imekabidhi kilo 1350 za mchele kwa wananchi hao. Akizungumza mara baada ya kukabidhi chakula hicho, huko Kichanagani…

Read More

TOFAUTI ZETU ZISIONDOE AMANI YETU – DKT BITEKO

 -Asisitiza Amani, Uvumilive na Kuheshimiana Miongoni mwa Watanzania  -Serikali Yaipongeza JMAT kwa Kuhimiza Amani Nchini  -Ahimiza Uchaguzi Kuunganisha Watanzania Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka Watanzania kulinda na kudumisha amani iliyopo nchini kwa kuzingatia misingi ya upendo, uvumilivu na…

Read More

Mambo matatu kuchochea uwekezaji Zanzibar

Unguja. Wakati Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar (Zipa) ikisajili miradi mipya ya uwekezaji 353 yenye thamani ya Dola za 5.5 bilioni za Marekani (Sh14.99 trilioni), uwepo wa amani na kuimarika kwa miundombinu ya kiuchumi na huduma za kijamii vinatajwa kuvutia mitaji mikubwa ya uwekezaji kutoka nje. Miradi hiyo iliyosajiliwa kwa kipindi cha miaka mitatu ya…

Read More