
CCM YAMPONGEZA RAIS SAMIA KWA HOTUBA YAKE KILIMANJARO
Cha Mapinduzi (CCM), kimempongeza Rais DK Samia Suluhu Hassan kwa hotuba yake aliyoitoa Kilimanjaro ya kukemea vitendo vya utekaji na mauaji huku akiliagiza jeshi la Polisi kufanya uchunguzi wa kina kubaini wale wanao husika na vitendo hivyo huku kikilaani vitendo hivyo vya upotoshaji wa hotuba hiyo vinavyofanywa na wapinzani hususan Chadema. Pia, alisema CCM imejipanga…