
Kicheko ujenzi wa hosteli uliokwama miaka saba
Serengeti. Jengo la Hosteli katika Shule ya Sekondari Ngoreme wilayani Serengeti lililoshindwa kukamilika kwa takriban miaka saba sasa limekamlika kwa asilimia 98. Jengo hilo ambalo lilianza kujengwa na umoja wa wanafunzi waliiowahi kusoma shuleni hapo limefikia hatua hiyo baada ya Mkuu wa Mko wa Mara, Evans Mtambi kufanya ziara shuleni hapo Agosti,13 2024 na kutoa…