
MKATABA UJENZI WA BARABARA YA IRINGA – MSEMBE WASAINIWA, BILIONI 142.5 KUTUMIKA
Serikali imesaini mkataba wa ujenzi wa barabara ya Iringa – Msembe inayoelekea kwenye Hifadhi ya Taifa ya Ruaha (km 104) kwa kiwango cha lami utakaogharimu kiasi cha shilingi Bilioni 142.56 ili kufungua fursa za kiutalii, kiuchumi na kibiashara kwa mikoa ya Nyanda za Juu Kusini. Utiaji saini mikataba miwili kati ya Wakala ya Barabara (TANROADS)…