
DKT. NCHEMBA AMWAKILISHA RAIS SAMIA MKUTANO WA AFRIKA50 MADAGASCAR Inbox
Na Benny Mwaipaja, Antananarivo Waziri was Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba ((Mb), ametoa wito kwa nchi za Afrika kutafuta njia na mikakati ya kuboresha uchumi na maisha ya wananchi wake kwa kutumia nishati safi ya kupikia ikiwa ni hatua pia ya kukabiliana na athari za mabadiliko ya Tabianchi yanayochangiwa na uharibifu wa mazingira….