
October 2024


Tumerudi tena, karibu sana, tulikumiss pia
Tunashukuru kwa uvumilivu wako wakati tulipokuwa nje ya mtandao. Sasa tuna furaha kubwa kutangaza #TumerudiMtandaoni! Kaa tayari kupata habari na taarifa za kuaminika. Tembelea kurasa zetu za mitandao ya kijamii na tovuti yetu www.mwanaspoti.co.tz. Pia, waweza kuhabarika kupitia bidhaa yetu mpya ya kidigitali, MwanaClick, kwa kubonyeza kiungo (Linki) kwenye bio yetu.

Sheria za Israeli zinazozuia UNRWA – athari mbaya za kibinadamu kwa Wapalestina? – Masuala ya Ulimwenguni
Sheria zinasemaje? The biliiliyoidhinishwa kwa wingi na wabunge wa Israel (92 kwa niaba, 10 dhidi) siku ya Jumatatu, ingepiga marufuku mamlaka ya nchi hiyo kuwa na mawasiliano yoyote na UNRWAna kuzuia wakala kufanya kazi ndani ya Israeli yenyewe. Kupitishwa kwa msaada huko Gaza na Ukingo wa Magharibi kunahitaji uratibu wa karibu kati ya UNRWA na…

PROGRAM YA STAWISHI MAISHA YAZINDULIWA RASMI MKURANGA ILI KUPAMBANA NA UTAPIAMLO
Na Mwamvua Mwinyi, MkurangaOktoba 30, 2024 Programu ya Stawishi Maisha, inayosimamiwa na Serikali ya Tanzania kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) kwa kushirikiana na UNICEF, imezinduliwa rasmi katika Kijiji cha Mkiu, Kata ya Mkamba, Wilaya ya Mkuranga . Programu hii inalenga kuboresha lishe kwa watoto wa umri wa miezi 0 hadi miaka 5, mama…

SERIKALI KUWEKA MIKAKATI KWA VIJANA BALEHE KUFIKIA MALENGO YAO
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera ,Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi , akizungumza wakati akifungua mkutano wa wadau wanaotekeleza Afua za Vijana Balehe nchini (NAIA)kwa niaba ya Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum unaofanyika kuanzia 31 Oktoba hadi 01 Novemba ,2024 Mkoani Dodoma. Na.Alex Sonna, Dodoma. Serikali imejidhatiti kutatua…

TANZANIA NA AFRIKA KUSINI KUFANYA TAFITI ZA PAMOJA
NA FARIDA MOROGORO Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia inaandaa mpango wa pamoja wa mashirikiano baina ya Tanzania na Afrika Kusini wa kubadilishana wataalamu na kufanya tafiti za pamoja hali itakayosaidia kuongeza wigo wa ajira kwa Watanzania na maendeleo kati ya nchi hizi mbili. Hayo yameelezwa na…

PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO NOVEMBA 1,2024
Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO NOVEMBA 1,2024 About the author

MAFANIKIO, AFUA ZA VIJANA BALEHE NCHINI YAAINISHWA
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi amesema Serikali imepata mafanikio mazuri kwa kuongeza idadi kubwa ya wanafunzi wanaomaliza elimu ya msingi kutoka 88% Mwaka 2022 hadi kufikia 98% Mwaka 2024. Dkt Yonazi amesema hayo wakati akifungua Mkutano wa Wadau wa wanaotekeleza Afua za…

WAYDS, GAET, TGNP WAIPONGEZA SERIKALI NA WANANCHI UBORESHAJI MIUNDOMBINU ZAHANATI YA NGUNGA KISHAPU
Mkurugenzi na Mratibu wa ufuatiliaji SAM mkoa wa Shinyanga kutoka WAYDS Charles Deogratius NA SUMAI SALUM – KISHAPU Shirika lisilokuwa la kiserikali WAYDS kwa kushirikiana na GAET chini ya Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) linalotekeleza mradi wa Uwajibikaji Ufuatiliaji wa Kijamii (SAM) limeipongeza serikali Wilayani Kishapu Mkoani Shinyanga kwa utekelezaji wa mapendekezo ya changamoto…

Rostam ataka wakopeshaji wakubwa duniani kuipunguzia Afrika riba
Mfanyabiashara maarufu nchini, Rostam Aziz, ametoa wito kwa mashirika makubwa ya kifedha duniani kupunguza riba za mikopo kwa Afrika ili ziwe sawa na zile zinazotolewa kwa mataifa ya Ulaya, Marekani, na Asia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Rostam alisema hayo jana jijini London wakati aliposhiriki kwenye majadiliano katika Mkutano wa kimataifa…