
Wananchi wataja wanayotarajia kwa Rais akihitimisha mbio za Mwenge
Mwanza. Wakati Rais Samia Suluhu Hassan akitarajiwa kuhitimisha mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2024 mkoani Mwanza, baadhi ya wananchi wametaja wanayotamani ayazungumzie, kutolea maagizo, ufafanuzi na kuyatatua. Kilele cha mbio hizo mwaka huu kinatarajiwa kufanyika mkoani Mwanza Oktoba 14 katika Uwanja wa CCM Kirumba. Wakizungumza na Mwananchi, baadhi ya wakazi wa jiji wamesema shauku…