INGIA UVUVINI NDANI YA MERIDIANBET USHINDE MKWANJA

JE, Unapenda Uvuvi? Meridianbet Kasino ya Mtandaoni imekuandalia safari ya kushangaza kwa ajili yako mwezi huu wa Septemba! Endelea kucheza moja ya michezo ya kasino ya mtandaoni hapa chini, na unaweza kushinda zawadi kabambe na pesa kibao! • Big Bass Bonanza: Keeping it Real • Big Bass Bonanza: Amazon Extreme • Big Bass Bonanza: Hold…

Read More

HADITHI: Bomu Mkononi – 19

Baada ya kulisimamisha gari, tuliingia ndani. Nilimuona mama yake. Alikuwa amekaa sebuleni. Alikuwa mwanamke mnene na mfupi. Nilimkadiria umri wake kuwa ulishafikia miaka themanini. Alikuwa amevaa dera na alikuwa amevaa hijab. Baada ya kumuamkia. Mustafa alimwambia hapo hapo.

Read More

Mkufunzi IJF awapa darasa makocha, waamuzi wa Judo

MKUFUNZI wa Shirikisho la Judo la Kimataifa (IJF), Erdan Dogan amewataka makocha na waamuzi wa mchezo huo nchini kuona umuhimu wa kufundisha timu za vijana. Dogan amekwenda mbali zaidi na kueleza kwamba hakuna nchini iliyofanikiwa katika michezo bila kuwekeza kwenye timu za vijana. Mkufunzi huyo wa kimataifa kutoka Uturuki amebainisha hayo jana Oktoba Mosi alipokuwa…

Read More

Simbachawe ataja umuhimu wapinzani kukosoa, atoa angalizo

Rorya. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amesema hakuna sababu ya viongozi wa Serikali na wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kukasirika pale vyama vya upinzani vinapowakosoa kwani kwa kufanya hivyo, vyama hivyo vinatimiza takwa la kikatiba. Simbachawene ameyasema hayo leo Jumatano, Oktoba 2, 2024 kwenye…

Read More