MichezoHADITHI: Bomu Mkononi – 17 Admin11 months ago01 mins 20 Nilimtaka mlinzi huyo kwa akili yangu kwani nilishapanga kuhamia nyumbani kwa Mustafa pindi mume wangu awapo safarini, hivyo nilitaka nyumba yetu iwe inalindwa usiku ili wezi wasije wakatuibia. Post navigation Previous: Vijana 181 wenye ulemavu wa akili wanufaika ufundi stadiNext: MAKAMU WA RAIS AKIWASILI ARUSHA KUSHIRIKI MKUTANO WA MABUNGE YA JUMUIYA YA MADOLA