MAGU YAJIPANGA KUTOA HUDUMA YA MIGUU BANDIA KWA GHARAMA NAFUU

Na Mwandishi Wetu HALMASHAURI ya Wilaya ya Magu mkoani Mwanza kwa kushirikiana na Taasisi ya Global Peace Network (GPN) pamoja na Tanzania Home Economics Organization- TAHEA), inatarajia kuanza kutekeleza mradi wa utengenezaji wa viungo bandia ikiwamo mikono na miguu ili kuwezesha watu wenye uhitaji wa viungo hivyo kuvipata kwa bei nafuu nchini. Mradi huo ambao…

Read More

MBUNGE MTATURU AKABIDHI MASHINE YA KUDURUFU,AMSHUKURU RAIS SAMIA.

MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu ameshiriki Mahafali ya 65 ya Shule ya Msingi Matongo na kuwapongeza Walimu,Wazazi na Wanafunzi kwa jitihada za kupandisha ufaulu. Aidha amekabidhi Mashine ya kudurufu yenye thamani ya Sh Milioni 3 ikiwa ni ahadi aliyoitoa mwaka jana 2023 kwenye mahafali kama hayo. Akizungumza katika mahafali hayo Octoba 2,2024,Mtaturu amewahimiza Wazazi…

Read More

TPDC Yajipanga Kupanua Vituo vya CNG Kukabiliana na Uhitaji

SHIRIKA la Petroli Tanzania (TPDC) limetoa ufafanuzi juu changamoto iliyojitokeza hivi karibuni ya kuwepo kwa msongamano wa magari kwenye vituo vya kujazia gesi ya CNG vilivyosababishwa na changamoto ya hitilafu ya umeme kwenye kituo cha Uwanja wa ndege Akizungumza na waandishi wa habari leo Octoba 3,2024 Kaimu Mkurugenzi wa biashara ya petroli na gesi Emmanuel…

Read More

SHUGHULIKIENI CHANGAMOTO KWENYE MAENEO YENU’

OR-TAMISEMI Naibu Katibu Mkuu ( Afya ) Ofisi ya Rais- TAMISEMI Dkt. Grace Magembe amewataka Waganga Wakuu wa Mikoa, Halmashauri pamoja na Wafawidhi wa vituo vya kutolea huduma za Afya ya Msingi nchini kufanya kazi kwa uadilifu pamoja na kushughulikia changamoto zilizopo katika maeneo yao. Dkt. Magembe ametoa wito huo alipozungumza na viongozi hao katika…

Read More

MTATURU AKABIDHI MASHINE YA KUDURUFU,AMSHUKURU RAIS SAMIA.

  MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu ameshiriki Mahafali ya 65 ya Shule ya Msingi Matongo na kuwapongeza Walimu,Wazazi na Wanafunzi kwa jitihada za kupandisha ufaulu. Aidha amekabidhi Mashine ya kudurufu yenye thamani ya Sh Milioni 3 ikiwa ni ahadi aliyoitoa mwaka jana 2023 kwenye mahafali kama hayo. Akizungumza katika mahafali hayo Octoba 2,2024,Mtaturu amewahimiza…

Read More