DIDAH WA WASAFI MEDIA AFARIKI DUNIA

Mtangazaji wa Kipindi cha Mashamsham cha WasafiFM Khadija Shaibu maarufu kama Didah, amefariki dunia jioni ya leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es salaam alikokuwa amelazwa. Didah ambaye amefariki akiwa na umri wa miaka 42, kifo chake kimetokea siku kumi na sita (16) toka Wafuasi wake washuhudie ukimya wake katika mitandao ya kijamii…

Read More

WAZIRI JAFO ATOA USHAURI KWA BODI MPYA YA WAKURUGENZI FCC

WAZIRI wa Viwanda na  Biashara Mh.Suleiman Jafo ameishauri bodi mpya ya  Wakurugenzi wa Tume ya Ushindani( FCC) kuhakikisha inakutana na kufanya kikao  haraka kwa lengo la kujadili masuala mbalimbali pamoja na kupitia mambo yote yanayotakiwa kupatiwa ufumbuzi kuhusu masuala ya uwekezaji nchini. Ametoa ushauri huo leo Oktoba 4,2024  Dar es Salaam alipokuwa akizindua bodi hiyo,…

Read More

Tume yatakiwa itafute mwarobaini kero za kodi

  Rais Samia Suluhu Hassan, amesema mfumo mzuri wa ukusanyaji na ulipaji wa kodi, utafanikisha lengo la kujenga uchumi jumuishi na unaokua kwa kasi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Ameyasema hayo leo Ijumaa tarehe 04 Oktoba 2024, alipokuwa akizindua Tume ya Kutathmini na Kushauri kuhusu Masuala ya Kodi, aliyoiunda hivi karibuni. Amesema…

Read More

MSONDO NGOMA KUADHIMISHA MIAKA 60 GWAMBINA

Na.Khadija Seif, Michuziblog BENDI ya Msondo Ngoma yawaalika Mashabiki zake kuhudhuria Tamasha la Miaka 60 tangu kuanzishwa kwa bendi hiyo. Akizungumza na Wanahabari Leo Oktoba 04,2024 Jijini Dar es Salaam Mwenyekiti wa Kamati ya Tamasha hilo Said Kibiriti amesema bendi hiyo imekuwa Mfano wa kuigwa katika tasnia ya Muziki kutokana na kuhudumu kwa Miaka mingi…

Read More

TIC, AIRTEL WASAINI MAKUBALIANO KUKUZA UWEKEZAJI NCHINI

  Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo Cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Gilead Teri na Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Dinesh Balsingh wakibadilishana mikataba mara baada ya kusaini makubaliano ya miaka miwili ili kuvutia wawekezaji nchini.  Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo Cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Gilead Teri akizungumza jijini Dar es Salaam leo Oktoba 04, 2024 wakati wa kusaini…

Read More

Tamasha la miaka 60 ya Msondo Ngoma kufanyika Oktoba 26

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Bendi maarufu ya muziki wa dansi nchini Tanzania, Msondo Ngoma Music Band, inatarajia kuadhimisha miaka 60 tangu kuanzishwa kwake kwa tamasha maalum litakalofanyika Oktoba 26, 2024, katika viwanja vya Gwambina Lounge (zamani TCC Club) Changombe, jijini Dar es Salaam. Akizungumza na waandishi wa habari, Meneja wa bendi hiyo, Saidi Kibiriti,…

Read More

CHUKUA CHAKO NA MERIDIANBET SIKU YA LEO

MPENDWA mteja wa Meridianbet, wikendi ndio hii inaanza leo ambapo ligi sasa inarejea huku ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yakiwepo hapa. Suka jamvi lako na ubashiri na Meridianbet leo. Kule BUNDESLIGA, unaweza kusuka jamvi lako na mechi ya FC Augsburg dhidi ya Borussia Monchengladbach huku nafasi ya kushinda mechi hii akipewa mwenyeji akiwa…

Read More

Nandy na Diamond kuwania Tuzo za AEAUSA

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Msanii maarufu wa Bongo Fleva nchini Tanzania, Faustina Mfinanga, anayefahamika zaidi kwa jina la Nandy, ametajwa kuwania tuzo ya Msanii Bora wa Kike (Best Female Artist) kwenye tuzo za African Entertainment Awards USA (AEAUSA). Katika kipengele hiki, Nandy atachuana na mastaa wakubwa wa muziki barani Afrika kama Yemi Alade, Tiwa…

Read More

WAZIRI BASHE AZINDUA KIUATILIFU HAI CHA KUANGAMIZA WADUDU DHURIFU WA MAZAO YA MAHINDI NA PAMBA

WAZIRI wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) amezindua kiuatilifu hai cha kuangamiza wadudu dhurifu kwenye mazao (THURISAVE – 24) kilichovumbuliwa na kampuni ya Tanzania Biotech Products Limited (TBPL) leo tarehe 4 Oktoba 2024, mkoani Pwani. Kiuatilifu hicho cha Thurisave kinadhibiti wadudu waharibifu wa zao la pamba na kantangaze kwenye nyanya. Kiuatilifu kinachodhibiti mbu ni aina…

Read More