IGP WAMBURA AFANYA KIKAO KAZI NA ASKARI KIGOMA

 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura, Oktoba 5,2024 amewasili mkoani Kigoma na kufanya kikao kazi na kuwa na majadiliano ya ndani na Maofisa, Wakaguzi na Askari wa vyeo mbalimbali waliopo mkoani humo ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kikazi katika mikoa ya Kanda za Kipolisi. Picha na Jeshi la Polisi  

Read More

Mahafali ya 54 UDSM : Prof. Anangisye Awasihi Wahitimu Kuleta Mabadiliko na Kutatua Changamoto za Jamii

MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. William Anangisye, amewahimiza wahitimu wa chuo hicho kutokaa wanasubiri ajira za serikalini pekee, bali pia kuangalia fursa nyingine za kiuchumi kwa kutumia maarifa na ujuzi waliyojifunza. Akizungumza katika Mahafali ya 54 ya chuo hicho, Prof. Anangisye alisema elimu inawainua wahitimu na kuongeza thamani yao katika…

Read More

Rasmi Swissport yaingia makubaliano na Shirika la Ndege la Ufaransa na KLM “Kiwanja cha Julius Nyerere”

Kampuni ya Swissport Tanzania imeingia makubaliano ya kufanyakazi na Shirika la Ndege la Ufaransa na KLM katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA). Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mkuu wa kampuni hiyo Tanzania, Mrisho Yassin maandalizi yamekamilika na timu yake imefanya kazi kubwa na anaamini huduma za kampuni ya Swissport zitafikia matarajio ya…

Read More

WADAU SEKTA YA ULINZI BINAFSI WAPIGWA MSASA

Na: Mwandishi wetu, Dar es Salaam Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu kupitia Idara ya Kazi, imetoa elimu ya sheria za kazi kwa Wafanyakazi na Waajiri wa sekta za ulinzi Jijini Dar es salaam. Akizungumza Kamishna wa Kazi, Suzan Mkangwa amesema kuwa dhumuni la semina hiyo ni kutoa Elimu ya…

Read More