
TBL YAADHIMISHA SIKU YA BIA FUNIANI KWA KUHAMASISHA KUNYWA KISTAARABU YATOA ELIMU YA KUNYWA KISTARAABU.
Katika kusheherekea siku ya bia duniani, Kampuni ya Bia ya Tanzania (TBL), inayoongoza kwa utengenezaji wa vinywaji hapa nchini, leo imezindua Kampeni yake ya ‘Smart Drinking’ yenye lengo la kutoa elimu ya kunywa kistaarabu. Kampeni hii inalenga wauzaji na watumiaji wa bia ili kuwahimiza kunywa kwa kiasi na kwa usalama, na imefanyika katika kumbi mbalimbali…