'Msisitizo Unapaswa Kuwa katika Kuwajibisha Kampuni za Mitandao ya Kijamii, Sio Kuwaadhibu Watumiaji Binafsi' – Masuala ya Ulimwenguni

na CIVICUS Jumatatu, Oktoba 07, 2024 Inter Press Service Oktoba 07 (IPS) – CIVICUS inajadili marufuku ya hivi majuzi ya Twitter/X nchini Brazili na Iná Jost, mwanasheria na mkuu wa utafiti katika InternetLab, taasisi huru ya wanafikra ya Brazil inayozingatia haki za binadamu na teknolojia ya kidijitali. Hivi majuzi Mahakama ya Juu ya Brazil iliidhinisha…

Read More

Mama Lishe Wapongeza Coca-Cola kwa Kusaidia Kuinua Biashara Zao Kupitia ‘Coca-Cola Food Fest’

Wafanyabiashara wa chakula maarufu kama ‘Mama Lishe’ wameeleza shukrani zao kwa Kampuni ya Coca-Cola kwa kuanzisha wazo bunifu kupitia tamasha la ‘Coca-Cola Food Fest’, ambalo limekuwa chachu ya kuboresha maisha yao kiuchumi. Akizungumza wakati wa tamasha hilo, Veronica Athanas, mmoja wa Mama Lishe, alisema, “Matamasha kama haya yanatupa fursa ya kujifunza na kuboresha biashara zetu,…

Read More

Maadhimisho Mwezi wa Huduma kwa wateja: Benki ya NBC Yajivunia Maboresho ya Huduma Kukidhi ya Mahitaji ya Wateja.

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua maadhimisho ya mwezi wa huduma wa kwa wateja huku ikijivunia mafanikio mbalimbali ikiwemo maboresho makubwa ya huduma zake yanayolenga kukidhi mahitaji ya wateja wa benki hiyo (Customer satisfaction). Hafla fupi ya uzinduzi wa maadhimisho hayo imefanyika mapema leo, Makao Makuu ya Benki hiyo jijini Dar es Salaam ikihusisha…

Read More

WAZIRI SILAA AITAKA POSTA KUONGEZA UFANISI NA UBORA WA HUDUMA

▪️Yatakiwa kuchangamkia fursa mpya za usafirishaji ▪️Yatakiwa kuhakikisha mifumo yake ya utendaji inasomana Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Jerry William Silaa (Mb) amelitaka Shirika la Posta Tanzania kuongeza ufanisi na ubunifu katika utendaji wake ili kuendelea kutoa huduma bora kwa wananchi zinazokidgi matarajio yao. Ameyasema hayo leo tarehe 07 Oktoba, 2024…

Read More

UBALOZI WA CHINA WAUNGANA NA ORYX KUHAMASISHA NISHATI SAFI YA KUPIKIA, WAKABIDHI MITUNGI 800 JIJINI ARUSHA – MWANAHARAKATI MZALENDO

Na Mwandishi Wetu Arusha   UBALOZI WA China kwa kushirikiana na Kampuni ya Oryx Gas Tanzania wametoa mitungi 800 ya gesi yakiwa na majiko yake kwa walimu, madereva na wahudumu wa Serikali pamoja na Waandishi wa habari wa Mkoa wa Arusha lengo ni kutekeleza sera ya Serikali ya Tanzania pamoja na China katika kutunza mazingira….

Read More

Sehundofe wakopeshana Sh bilioni 4.2 kujikwamua kiuchumi

Na Nora Damian, Mtanzania Digital Kikundi cha kuweka na kukopa cha Sehundofe kimetoa mikopo ya zaidi ya Sh bilioni 4.2 kwa wanachama wake kuwawezesha kujikwamua kiuchumi. Mikopo hiyo imetolewa tangu mwaka 2009 kikundi hicho kilipoanzishwa ambapo hadi sasa kina wanachama 758 wakiwemo wanawake 609 na wanaume 149. Akizungumza Oktoba 5,2024 wakati wa maadhimisho ya miaka…

Read More