Hofu inaongezeka kwamba Lebanon inaweza kuwa Gaza nyingine – Masuala ya Ulimwenguni

“Haiwezekani kukidhi mahitaji ya zaidi ya watu milioni moja ambao wameng'olewa ghafla, kuhamishwa na kufukuzwa bila rasilimali za ziada kuingia,” alisema Matthew Hollingworth, WFP Mkurugenzi wa Nchi nchini Lebanon (Kutoka Beirut): “Hii haikuwa nchi ambayo ilikuwa imeandaliwa vyema kwa sababu ya changamoto zote ambazo imekabiliana nazo katika miaka iliyopita. Kwa hiyo, itakuwa ni mapambano.” Wiki…

Read More

WAZIRI JAFO ATETA NA BALOZI WA KENYA NCHINI

  Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt.Selemani Jafo (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Kenya nchini Tanzania, Mhe.Dkt. Isaac Njenga na Ujumbe wake katika Ofisi ndogo ya Wizara jijini Dar es Salaam Oktoba 8, 2024. Mazungumzo hayo yamelenga kuongeza ushirikiano wa Kibiashara hasa katika Biashara za mipakani, Biashara za mazao ya Kilimo…

Read More

ZAINA FOUNDATION, PARADIGM INITIATIVES YATOA MAFUNZO KUHUSU SHERIA YA ULINZI WA TAARIFA BINAFSI

NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM TAASISI ya Zaina Foundation kwa kushirikiana na taasisi ya Amnesty pamoja na Paradigm Initiatives zimefanya warsha ya pamoja ambayo imelenga kukuza uelewa wa sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi ambapo itasaidia kuwatetea na kulinda faragha za watu Akizungumza na waandishi wa habari leo Oktoba 08,2024 Jijini Dar es Salaam,…

Read More

ZAINA FOUNDATION, AMNESTY NA PARADIGM INITIATIVES ZASHIRIKIANA KUJENGA UELEWA WA SHERIA YA ULINZI WA TAARIFA BINAFSI – MWANAHARAKATI MZALENDO

NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM   TAASISI ya Zaina Foundation kwa kushirikiana na taasisi ya Amnesty pamoja na Paradigm Initiatives zimefanya warsha ya pamoja ambayo imelenga kukuza uelewa wa sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi ambapo itasaidia kuwatetea na kulinda faragha za watu.   Akizungumza na waandishi wa habari leo Oktoba 08,2024 Jijini Dar…

Read More