Bangi sasa basi Tarime, wananchi wakubali yaishe

Na Mwanandishi Wetu, Mtanzania Digital Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya kwa kushirikiana na Vyombo vya Ulinzi na Usalama ikiwemo jeshi la polisi, jeshi la akiba pamoja na wananchi imefanya operesheni kubwa ya kihistoria kwa muda wa wiki tatu katika wilaya ya Tarime na Serengeti, mkoani Mara kwa lengo la kukabiliana na…

Read More

Benki ya Akiba yawatunuku tuzo wateja wake

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Benki ya Akiba (ACB) imeadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja kwa kutoa tuzo kuthamini mchango wa wateja wake katika utoaji huduma za kibenki. Tuzo hizo zimetolewa Oktoba 9,2024 na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Akiba, Silvest Arumasi, katika hafla iliyofanyika katika tawi la Ubungo la benki hiyo. Arumasi amewashukuru Watanzania…

Read More

Jamii Yasisitizwa Kumthamini Mtoto wa Kike

NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV Kuelekea Siku ya Mtoto wa Kike Duniani Oktoba 11,2024 wanaharakati wa masuala ya jinsia,wameiomba jamii kutambua uwezo alionao mtoto wa kike kwani anaweza kuongoza na kufanya mambo mengine kama ilivyo  kwa mtoto wa kiume endapo Jamii itamthamini na kumpa kipaumbele. Wamesisitiza kuwa watoto wa kike wana uwezo mkubwa wa kufanikiwa…

Read More

WIKI YA VIJANA 2024 KITAIFA KUFANYIKA JIJINI MWANZA

Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma SERIKALI kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu Vijana,Ajira na wenye Ulemavu imewaomba Wananchi wote wa Jiji la Mwanza pamoja na Mikoa iliyopo jirani kujitokeza kwa wingi katika viwanja vya furahisha Jijini Mwanza ili kuungana na Mh Kassim Majaliwa ambaye ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kuadhimisha Wiki…

Read More