MCHUNGAJI TENGWA AWATAKA WANASIASA KUTUMIA BUSARA KIPINDI CHA UCHAGUZI

Mwalimu Kiongozi wa huduma ya matengenezo ya kiroho Augustine Tengwa ameviomba vyama vya siasa nchini kutogombania madaraka kuilinda amani ya Tanzania Ametoa kauli hiyo Octoba 11 Jijini Dar es salaam wakati akizungumza na wanahabari kuhusu maono ambayo watumishi wamefunuliwa kuelekea uchaguzi kuwa kutakuwa na umwagikaji damu ya mauaji ya wenyewe kwa wenyewe. “Tuilinde amani tuliyonayo…

Read More

NIMESHIRIKI ZOEZI LA UANDIKISHAJI- DC MWANGA.

MKUU wa Wilaya ya Mlele Alhaj Majid Mwanga ameshiriki zoezi la kujiandikisha katika daftari la mpiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu huku akiwasisitiza wananchi kushiriki zoezi hilo. Alhaj Majid ameshiriki zoezi hilo akiwa na viongozi wenzake ambao ni Mwenyekiti wa Kitongoji cha Shama Steven Peleka,Katibu wa Tawi la CCM…

Read More

Mtanzania abainika kuambukizwa Mpox – Mwanahalisi Online

  WIZARA ya Afya imethibitisha kisa cha kwanza cha Mtanzania, kubainika amepata maambukizi ya homa ya nyani (Mpox). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Aidha, imesema Tanzania iko salama na hakuna mgonjwa wa Mpox aliyebainika hapa nchini hadi sasa. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali, Roida Andusamile, amesema Mtanzania huyo anayekadiriwa kuwa…

Read More

IPBES Inatoa Wito wa Masuluhisho Kamili, Mabadiliko ya Mabadiliko katika Kukabili Upotevu wa Bioanuwai – Masuala ya Ulimwenguni

Bioanuwai ni muhimu kwa usalama wa chakula na lishe. IPBES imeonya kuwa upotevu wa viumbe hai unaongezeka kwa kasi duniani kote, huku spishi milioni 1 za wanyama na mimea zikitishiwa kutoweka. Credit: Busani Bafana/IPS by Busani Bafana (bulawayo) Ijumaa, Oktoba 11, 2024 Inter Press Service BULAWAYO, Oktoba 11 (IPS) – Mkabala wa kiujumla na mabadiliko…

Read More