
Serikali yawahakikishia wawekezaji usalama na fursa za faida Tanzania
Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Serikali imewahakikishia wawekezaji kwamba Tanzania ni sehemu salama kwa uwekezaji na ina fursa nyingi za kibiashara zenye faida. Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Dunstan Kitandula, alitoa wito huu Oktoba 12, 2024, wakati akifungua mkutano wa jukwaa la uwekezaji katika sekta ya utalii. Mkutano huu ulifanyika katika ukumbi wa Mlimani…