ICC yatangaza uchunguzi mpya dhidi ya madai ya uhalifu Kongo – DW – 15.10.2024

Katika taarifa, Khan amesema ghasia za hivi karibuni jimboni Kivu Kaskazini zinahusishwa na matukio ya vurugu na uhasama ambayo yamekumba eneo hilo tangu katikati mwa mwaka 2002. Kutokana na hilo, tuhuma za hivi karibuni zaidi zinaangukia kwenye uchunguzi unaoendelea. Khan asema uchunguzi Kivu Kaskazini hautakuwa wa upendeleo Khan amesema uchunguzi wake huko Kivu Kaskazini hautahusisha…

Read More

Mzozo wa Mashariki ya Kati wauweka hatarini uchumi wa dunia – DW – 14.10.2024

Wakati Iran ilipovurumisha makombora 180 ya masafa marefu kuelekea Israel wiki moja iliyopita na kusababisha uharibifu mdogo na watu kujeruhiwa, Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, alionya kwamba Tehran ilifanya kosa kubwa huku akiahidi kulipiza kisasi. Shambulio la kwanza la Iran dhidi ya Israel mwezi Aprili lililojumuisha droni 300 na makombora lilijibiwa kwa hatua za…

Read More

Lengo la Umoja wa Mataifa la Kumaliza Njaa Duniani ifikapo 2030 linatarajiwa kukosa Lengo – Masuala ya Ulimwenguni

Vurugu zinazoendelea, mabadiliko ya hali ya hewa, kuenea kwa jangwa, na mvutano juu ya maliasili yote yanazidisha njaa na umaskini kote Chad—na pia kote barani Afrika. Credit: UNDP/Aurelia Rusek Maoni na Thalif Deen (umoja wa mataifa) Jumatatu, Oktoba 14, 2024 Inter Press Service UMOJA WA MATAIFA, Oktoba 14 (IPS) – Siku ya Chakula Duniani 2024….

Read More

India, Canada zafukuziana mabalozi katikati mwa mzozo mkubwa – DW – 14.10.2024

India na Canada kila moja ilimfukuza balozi wa nchi nyingine pamoja na wanadiplomasia wengine watano, kufuatia madai ya New Delhi kwamba balozi wake ametajwa kati ya “watu wanaoshukiwa” kuhusiana na mauaji ya kiongozi wa wanaharakati wa kujitenga wa Masingasinga. Mgogoro wa kidiplomasia uliibuka baada ya New Delhi kusema kuwa inawaondoa wanadiplomasia wake sita kutoka Canada,…

Read More