ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1,000 yapo hapa

  Mechi mbalimbali za mataifa hapa Afrika na kule Ulaya zinaendelea huku ndani ya Meridianbet tayari wameshakuwekea ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000. Ingia na ubashiri sasa. Hayawi hayawi sasa yamekuwa ni Tanzania VS DR Congo kwenye mechi ya kisasi huku Taifa Stars akihitaji ushindi wa hali na mali kujiweka kwenye nafasi ya kufuzu…

Read More

TRA yazindua ofisi ya walipa kodi binafsi

  MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imezindua ofisi ya walipa kodi binafsi na wenye hadhi ya juu 158 ilikuongeza ufanisi wa ukusanyaji mapato. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Kamishina Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Mwenda alizindua ofisi hiyo dar es salaam jana. “Muunganiko huu na matoke haya ni kutokana…

Read More

Viongozi bora wanachaguliwa na wananchi waliojiorodhesha

Na. Dennis Gondwe, MWAJA, CHAMWINO VIONGOZI bora wa serikali za mitaa wanachaguliwa na wananchi waliojiandikisha katika orodha ya wapiga kura ili waweze kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Kauli hiyo ilitolewa na mkazi wa Mtaa wa Mwaja, Kata ya Chamwino, Josephine Joseph alipoongea na mwandishi wa habari hii muda mfupi baada ya kujiandikisha katika orodha…

Read More

Mradi wa Umeme wa JNHPP mbioni kuzalisha Megawati 900

Esther Mnyika, Mtanzania Digital Serikali imeeleza kuwa Mradi wa Bwawa la Kuzalisha Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) sasa una uwezo wa kuzalisha megawati 700 za umeme, na kwamba ndani ya kipindi kifupi kijacho, mradi huo utaweza kuzalisha hadi megawati 900. Akizungumza leo Oktoba 15, 2024, jijini Dar es Salaam, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya…

Read More

Mchengerwa awataka wakuu wa mikoa kusimamia sheria na kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa, amewaagiza wakuu wa mikoa kote nchini kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama katika kusimamia sheria, kanuni, na taratibu za uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27 mwaka huu. Baadhi ya Watumishi…

Read More