Mashirika ya Kiraia Yanapambana Dhidi ya Kupunguzwa kwa Bajeti Huku Kukiwa na Wito wa Marekebisho ya “Misaada” – Masuala ya Ulimwenguni

“Mwanamke anavuka biashara ya ndani katika mitaa ya Kathmandu, Nepal” (Wahamaji Wote wawili) Maoni na Sarah Strack (new york) Jumatano, Oktoba 16, 2024 Inter Press Service NY Katikati ya changamoto hizi, data kutoka 2023, inaonyesha kuwa Msaada Rasmi wa Maendeleo (ODA) ilifikia rekodi iliyovunja rekodi ya Dola za Marekani bilioni 223.7kutoka dola bilioni 211 mwaka…

Read More

Magege : CHADEMA acheni kutia doa zoezi la uandikishaji wapigakura nchini

KAIMU Katibu Mkuu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi wa Uvccm, Bulugu Magege, amekitaka Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuacha kulinajisi zoezi la uandikishaji wa wapiga kura linaloendelea nchini. Akizungumza leo, Septemba 16, Jijini Dodoma, alipojiandikisha katika shule ya Dodoma Mlimani, Burugu amewasihi vijana kujitokeza kwa wingi katika mchakato huu muhimu wa kujiandikisha na…

Read More

MAOMBI 131 YA WAFUNGWA KUJADILIWA MWANZA

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Nchini (CGP) Jeremiah Yoram Katungu, jioni ya leo tarehe 16 Oktoba 2024, amempokea Mwenyekiti wa Bodi ya Parole Taifa, Balozi Khamis Kagasheki, pamoja na aliyekuwa Kamishna mstaafu wa Jeshi la Magereza, Juma Malewa. Ujumbe wa Bodi hiyo unatarajia kufanya kikao katika Mkoa wa Mwanza kujadili maombi ya wafungwa 131,…

Read More

AS Monaco inakimbiza wiki kimya kimya Ligue 1

  As Monaco wanakimbiza mwizi kimya kimya ndio kauli ambayo unaweza kuitumia kwa klabu hiyo ambayo mpaka sasa ndio vinara wa ligi kuu nchini Ufaransa maarufu kama Ligue 1. Klabu ya As Monaco katika hali ya kushtusha wamefanikiwa kushika usukani wa ligi kuu ya soka nchini Ufaransa baada ya michezo saba ya ligi hiyo kuchezwa,…

Read More