
Gachagua atimuliwa wakati akiugua hospitali – DW – 18.10.2024
Baada ya siku mbili za kuwasilisha hoja na kuzifafanua, hatimaye Maseneta wamemtimua naibu wa rais Rigathi Gachagua. Maseneta wasiopungua 53 walipiga kura kumtimuakwa shtaka la kwanza kuhusu ushirika na kwamba wakenya wananufaika kwa kuzingatia mchango wao wa kisiasa. Kwa jumla maseneta walipiga kura iliyokubaliana na mashtaka 5 kati ya yote 11 yaliyomuandama. Soma: Seneti ya Kenya kupiga kura…