MHESHIMIWA PINDA AWASILI GABORONE KUONGOZA MISHENI YA UANGALIZI YA UCHAGUZI YA SADC NCHINI BOTSWANA

Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mizengo Kayanza Peter Pinda amewasili jijini Gaborone, Botswana tarehe 19 Oktoba, 2024. Mhe. Mizengo Pinda ataongoza Misheni ya Uangalizi ya Uchaguzi ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC- SEOM) katika Uchaguzi Mkuu wa Jamhuri ya Botswana uliopangwa kufanyika tarehe 30 Oktoba, 2024. Katika Uwanja…

Read More

WAHITIMU KIDATO CHA NNE SHULE YA BETHSAIDA WATAKIWA KUENDELEZA MAARIFA WALIYOPEWA – MWANAHARAKATI MZALENDO

NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM   WAHITIMU wa kidato cha nne Shule ya Sekondari Bethsaida wametakiwa kuendelea kuwa waadilifu na kuwa mfano mzuri katika jamii, huku wakisisitiza kuwa ni jukumu lao kuimarisha maadili na ujuzi waliyopata shuleni.   Wito huo umetolewa leo Oktoba 19, 2024 katika Mahafali 16 ya shule hiyo iliyopo Mbezi Mpiji…

Read More

Wafanyabiashara na Wawekezaji wa Tanzania na Iran wakutana

WAKATI Rais Samia Suluhu Hassan akiendelea kugonga hodi kwenye nchi zilizoendelea kiuchumi na kiteknolojia tayari Iran imemuitikia kwa kuja Tanzania na kufanya uwekezaji wa zaidi ya Dola za Kimarekani Milioni 333. Akifunga Kongamano la biashara na uchumi la siku nne kuanzia Oktoba 16 hadi leo Oktoba 19,2024 lililozikutanisha Tanzania na Iran, jijini Dar es Salaam,…

Read More

MBUNGE UMMY APITA VIJIWENI KUHIMIZA WANANCHI KUJIANDIKISHA NA KUSHIRIKI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA.

Mbunge wa Jimbo la Tanga Mjini (CCM) Mhe Ummy Mwalimu leo Octoba 18 mwaka 2024 ametembelea vijiwe mbalimbali katika mitaa ya Mwambani, Mchukuuni, Mwahako, Mwakidila na Mwang’ombe katika kata za Tangasisi na Masiwani kuhamasisha wananchi kujiandikisha katika daftari la mkazi na pia kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa utakao fanyika tarehe 27/11/2024. Akizungumza mara…

Read More

NAIBU WAZIRI PINDA AJIANDIKISHA KIJIJINI KWAKE KIBAONI

Mbunge wa Jimbo la Kavuu na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda akiajiandikisha kwenye orodha ya mpiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa katika mtaa wa Ndemanilwa kata ya Kibaoni halmashauri ya Mpimbwe mkoa wa Katavi tarehe 19 Oktoba 2024. ********************** Na Munir Shemweta, MLELE Naibu…

Read More

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa laongeza muda wa vikwazo, vikwazo vya silaha kwa Haiti – Masuala ya Ulimwenguni

kupitisha kwa kauli moja, chini ya Sura ya VII ya Mkataba wa Umoja wa Mataifaazimio 2752 (2024) Baraza la wanachama 15 liliamua kuwa hali ya Haiti inaendelea kuwa tishio kwa amani na usalama wa kimataifa katika eneo hilo. Azimio hilo linasisitiza kuendelea kwa hatua za vikwazo zilizowekwa awali katika maazimio ya awali ya kuzuia usambazaji…

Read More