
TPF Net PWANI WAKABIDHI MSAADA KWA WANAFUNZI WA MANDELA SEK WALIOUNGULIWA BWENI
Mwenyekiti wa TPF Net Mkoa wa Pwani, Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP) Batseba Kassanga ameongoza maafisa, wakaguzi, na askari wa vyeo mbalimbali kukabidhi msaada wa mashati 70 kwa wanafunzi wa kike wa Shule ya Sekondari Mandela, Wilaya ya Kipolisi Chalinze, ambao bweni lao liliungua moto mnamo Oktoba 12, 2024. Akizungumza wakati wa kukabidhi msaada huo,…