Waziri mkuu Kassim Majaliwa atoa maagizo kwa mkurugenzi,kukamilika kwa mabweni, madarasa na vyoo shule ya sekondari Mandawa

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa, Frank Chonya ahakikishe mkandarasi anayejenga mabweni, madarasa na vyoo katika shule ya sekondari Mandawa awe ameanza kazi ifikapo Oktoba 24, mwaka huu. Akizungumza na walimu na wanafunzi wa shule hiyo pamoja na viongozi wa Wilaya hiyo, leo (Jumatatu, Oktoba 21, 2024) mara baada…

Read More

ZAIDI YA WASHIRIKI 3,000 WASHIRIKI UZINDUZI WA KAMPENI YA TUWAAMBIE KABLA HAWAJAHARIBIWA ARUSHA.

Na. Mwandishi Jeshi la Polisi Arusha. Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limezindua kampeni ya tuwaambie kabla hawajaharibiwa kwa lengo la kuongea na wanafunzi kuanzia elimu ya awali hadi vyuo vikuu kwa ajili ya kuwaelimisha juu ya kujitambua ili kujiepusha na vitendo vya mmomonyoko wa maadili. Akizungumza katika uzinduzi huo ambao umehudhuriwa na washiriki zaidi…

Read More

AGENDA ,NEMC YAWAKUTANISHA WADAU KUWEKA MKAKATI KUDHIBITI TAKA HATARISHI ZINAZOTOKANA NA BETRI CHAKAVU

Na Mwandishi Wetu, Michuzi TV WADAU mbalimbali wakiwemo Asasi isiyo ya kiserikali ya AGENDA pamoja na Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) wamekutana katika warsha maalumu kwa lengo la kujadili na kuangalia namna bora ya usimamizi wa taka hatarishi zinazotokana na betri chakavu. Katika warsha hiyo iliyoandaliwa na AGENDA kwa kushirikiana…

Read More

TEA YAPITIA NA KUTATHMINI MPANGO MKAKATI WAKE WA UTEKELEZAJI.

Menejimenti ya Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), ikiongozwa na Mkurugenzi Mkuu Dkt. Erasmus Kipesha, imekutana kwa siku mbili kuanzia Oktoba 21 na 22, 2024, kwa lengo la kutathmini utekelezaji wa majukumu yake kama yalivyoainishwa kwenye Mpango Mkakati wa miaka mitano (2021/2022 – 2025/2026). Tathmini hiyo imelenga kubaini maeneo ya kuboresha na kuweka mikakati madhubuti ya…

Read More