WANAOKUSANYA BETRI CHAKAVU BILA KUFUATA TARATIBU, AGENDA WATOA NENO KWA WADAU

Na Said Mwishehe, Michuzi TV BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira(NEMC)limewashauri watu wote wanaojihusisha na kukusanya betri chakavu na Kwenda kuuza katika viwanda vinavyochakata betri hizo kuhakikisha wanazingatia kanuni, taratibu na maelekezo yaliyopo kwenye vibali. Lengo ni kuhakikisha wanaojihusisha na biashara hiyo kuifanya katika mazingira yaliyosalama ili kuepuka madhara ya kiafya na…

Read More

TANZANIA YAZIDI KUPAA SEKTA YA UTALII

Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma Tanzania imeendelea kufanya vizuri katika sekta ya utalii kwa kuwa na kiwango kikubwa cha watalii wanaotembelea vivutio mbalimbali kulinganisha na nchi nyingine Barani Afrika kwa mujibu wa ripoti ya nusu mwaka ya takwimu za utalii ya shirika la utalii duniani (UN Tourism Barometer Report) katika kipindi cha kuanzia mwezi januari…

Read More

Polisi kata nchi nzima kupewa pikipiki kuimarisha ulinzi.

Waziri wa Mambo ya Ndani Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amesema Serikali inaendelea kuboresha utendaji kazi wa Polisi Kata na Shehia kwa kuwajengea vituo vya Polisi na kuwapatia vitendea kazi kama pikipiki Nchi nzima katika kutekeleza majukumu yao. Waziri Masauni ameyasema hayo leo Oktoba 22, 2024, Mkoani Geita Katika hafla ya kukabidhi pikipiki 50 zenye thamani…

Read More

Vikundi vya ulinzi shirikishi zingatieni maadili ya Kazi

Vikundi vya Ulinzi Shirikishi Kata ya Ngara Mjini Wilaya Ngara Mkoa wa Kagera vimetakiwa kuzingatia Sheria kipindi cha utekelezaji wa majukumu yao huku akiwataka kuwa mfano mzuri Kwa jamii. Hayo yamebainishwa na Mkaguzi Kata ya Ngara Mjini Mkaguzi Msaidizi wa Polisi A/INSP Olipa Chitongo wakati akitoa elimu Kwa vikundi hivyo ambapo amewataka kufuata sheria za…

Read More

Vikundi vya Ulinzi Shirikishi Zingatieni Maadili ya Kazi.