40 Lucky Sevens inamwaga mihelaa tu

Kupitia mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet wanasogezea mchezowa kasino wa 40 Lucky Sevens, Kupitia Mchezo huu unaweza kuondoka na kitita kizito. 40 Lucky Sevens ni mchezo wa sloti kutoka kasino ya mtandaoni kutoka kwa mtoa huduma“Game Art“. Utapenda mchezo huu ikiwemo aina mbili za alama ya scatter. Pia kuna alama zaJokeri zinazojaza…

Read More

WAZIRI WA NISHATI ZANZIBAR AIPA KONGOLE REA

-AISISITIZA KUENDELEA NA UHAMASISHAJI -REA YAELEZEA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA NA USAMBAZAJI WA UMEME VIJIJINI Waziri wa Maji, Nishati na Madini, Mhe. Shaib Kaduara ameupongeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kuendelea kuhakikisha huduma za Nishati zinafika katika maeneo yote ya Vijiji Tanzania Bara. Ametoa pongezi hizo Jijini Dar es Salaam…

Read More

KAMPENI YA TUWAAMBIE KABLA YA HAWAJAHARIBIWA YAENDELEA ARUSHA

Na.Vero Ignatus Arusha. Jeshi la Polisi wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha limeendelea kutoa Elimu ya kujitambua na namna ya kujiepusha na vitendo via mmomonyoko wa maadili kwa wanafunzi wa shule za Sekondari wilayani humo, kujiepusha na makundi na mabaya yatakayoharibu tabia njema na kuingia kwenye upotokaji Akizungumza leo 25octoba 2024 na wanafunzi Katibu Tawala wilaya…

Read More

Rais Dkt. Samia aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu ndogo ya Tunguu Zanzibar.

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu ndogo ya Tunguu Zanzibar.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika katika Ikulu ndogo ya Tunguu Zanzibar tarehe 25 Oktoba, 2024. Viongozi mbalimbali…

Read More

Kigahe: Rahisisheni zaidi mazingira ya urasimishaji biashara

  NAIBU Waziri wa Viwanda na Biashara, Exaud Kigahe, amehimiza urasimishaji wa biashara, huku akiuelekeza Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (Brela), kurahisisha taratibu za usajili. Anaripoti Restuta James, Dar es Salaam … (endelea). Kigahe ametoa kauli hiyo leo jijini Dar es Salaam alipokuwa akifungua mkutano wa pili wa Brela na wadau uliowakutanisha wafanyabiashara…

Read More

Walimu wakuu 135 wapata mafunzo ya utawala Hanang

Walimu wakuu 135 wa shule za msingi wilayani Hanang leo Oktoba 25, 2024 wameanza kushiriki mafunzo maalum ya uongozi na usimamizi wa shule, yaliyofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Mafunzo ya Ufundi Nangwa, mafunzo yanayojumuisha mbinu za uongozi, usimamizi wa rasilimali na utekelezaji wa miradi. Mafunzo hayo, ambayo yamefadhiliwa na serikali kwa kushirikiana na Wakala…

Read More