Vita vya Wenyewe kwa Wenyewe kwa Sudan vyazidisha Uchumi katika Nchi Jirani – Masuala ya Ulimwenguni

Transit Site katika Roriak, Unity State, Sudan Kusini. Watu wanapata msaada baada ya kukimbia mzozo nchini Sudan. Credit: UNICEF/Sudan Kusini na Oritro Karim (umoja wa mataifa) Jumatatu, Oktoba 28, 2024 Inter Press Service UMOJA WA MATAIFA, Oktoba 28 (IPS) – Viwango muhimu vya njaa nchini Sudan vimeongezeka na kufikia viwango muhimu tu tangu kuanza kwa…

Read More

Majaliwa ateta nawaziri wa uchumi wa Urusi.

Waziri mkuu Kassim Majaliwa amekutana na Waziri wa Uchumi na Maendeleo wa Shirikisho la Urusi, Bw. Maxim Reshetnikov na kujadiliana naye masuala mbalimbali yakiwemo yanayogusa biashara, kilimo, usafirishaji, elimu, nishati na utalii. Akizungumza na Waziri Reshetnikov leo (Jumatatu, Oktoba 28, 2024) ofisini kwake Magogoni, jijini Dar es Salaam, Waziri Mkuu amemhakikishia Waziri huyo kwamba Tanzania…

Read More

Sasa vijiji vyote Mtarwa vina umeme

Ni furaha na nderemo kwa wakazi wa Mkoa wa Mtwara mara baada ya Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kufanikiwa kufika umeme katika Vijiji vyote 785 katika Mkoa huo. Akizungumza wakati wa hafla ya kuwasha umeme katika Kijiji cha Makome A ambacho ndio kijiji cha mwisho kuunganishwa na nishati ya umeme katika Mkoa huo…

Read More