CEO WA SHIRIKA LA LIGHT FOR THE WORLD (LFW) ATEMBELEA KLINIKI YA MACHO YA HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA

Na Ludovick Kazoka, Dodoma. Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) Erwin Telemans wa Shirika la Light for the World (LFW) leo ametembelea Kliniki ya Macho ya Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) kujionea huduma za macho. Ndugu Telemans ameahidi kuwa Shirika lake litaendelea kusaidia huduma za macho za BMH. “Tunapaswa kuendelea kusaidia huduma za Afya ikiwemo kuwafikia wananchi…

Read More

MIRADI 77 INAENDELEA KUTEKELEZWA NA TANROADS NCHINI

Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea na utekelezaji wa miradi 77 ya ujenzi wa barabara na madaraja kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) yenye thamani ya Shilingi Trilioni 4.6. Aidha, Serikali kupitia TANROADS tayari imekamilisha kwa asilimia 100 miradi 25 ya ujenzi wa…

Read More

Ni zamu ya Ali Maua Kijitonyama

Leo imekua zamu ya Ali Maua Kijitonyama kufikiwa na kampuni ya Meridianbet ambapo wameendelea kufanya ambayo wamekua wakiyafanya mara kwa mara ambapo wamefanikiwa kutoa msaada kwa jamii. Meridianbet wamefanikiwa kufika eneo la Kijitonyama Ali Maua leo na kutoa msaada kwafamilia mbalimbali ambazo zinapitia changamoto mbalimbali na zisizojiweza, Hii inaendeleakuonesha namna mabingwa hao wa kubashiri wanavyoijali…

Read More

‘Utashi wa kisiasa kikwazo mabadiliko sheria ya ndoa’

Na Nora Damian, Mtanzania Digital Mabadiliko ya Sheria ya Ndoa ya Mwaka 1971 hayajatekelezwa kwa sababu mbalimbali ikiwamo kukosekana kwa utashi wa kisiasa kutoka kwa baadhi ya viongozi pamoja na kuwapo kwa mila na desturi potofu kwenye jamii, imeelezwa. Mwaka 2016 Mwanaharakati, Rebecca Gyumi alishinda kesi aliyofungua mahakamani kupinga Sheria ya Ndoa ya Mwaka 1971…

Read More

Utafiti wa Kisayansi Unaweza Kuwa na Jukumu Muhimu katika Kufungua Fedha za Hali ya Hewa – Masuala ya Ulimwenguni

Zaidi ya waandishi 700 wanaowakilisha mataifa 90 tofauti waliandika AR6 ya IPCC | Mkopo: Margaret López/IPS Maoni na Margaret Lopez (caracas) Jumanne, Oktoba 29, 2024 Inter Press Service CARACAS, Oktoba 29 (IPS) – Fedha za hali ya hewa zitakuwa chini ya uangalizi mkali wakati wa COP29, na usambazaji wake kuendana na uchambuzi wa kisayansi wa…

Read More