Ujumbe wa pamoja wa Umoja wa Mataifa kaskazini mwa Gaza ulisaidia kuhamisha baadhi ya wagonjwa kutoka Hospitali ya Kamal Adwan hadi Hospitali ya Al-Shifa.
Habari za Umoja wa Mataifa
Tutakuwa tukifuatilia habari za hivi punde zinazochipuka siku nzima, zikiwemo za wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa katika eneo la Mashariki ya Kati, ujumbe kutoka Gaza, Lebanon na eneo kubwa zaidi pamoja na mkutano wa dharura wa Baraza la Usalama kufuatia kuongezeka kwa mzozo kati ya Iran na Israel. Watumiaji wa programu ya UN News wanaweza kufuata hapa.