TGNP YAWAPA MAFUNZO WATIA NIA WANAWAKE KUONGEZA UWAKILISHI KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA

Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na vijiji,Mtandao wa jinsia Tanzania TGNP umewapatia mafunzo watia nia ambao tayari wamepitishwa na vyama vyao kwa  lengo la kuongeza nafasi za wanawake katika uongozi. Hayo yamebainishwa leo Oktoba 30,2024 Jijini Dar es Salaam katika semina za jinsia na Maendeleo zinazofanyika kila Jumatano,Afisa TGNP-Mtandao Idara ya mafunzo Anna Sangai…

Read More

MATI SUPER BRANDS LTD YAIBUKA KINARA MAONYESHO YA TANZANITE MANYARA TRADE FAIR 2024

Mwandishi Wetu ,Manyara . Kampuni ya kuzalisha Vinywaji changamshi ya Mati Super Brands Limited imeibuka kinara katika maonyesho ya Biashara ,Viwanda na Kilimo ya Tanzanite Manyara Trade Fair 2024 baada ya kushinda Tuzo ya wazalishaji bora wa vinywaji changamshi miongoni mwa makampuni yaliyoshiriki kwenye maonyesho hayo kutokana na ubora wa bidhaa wanazozilisha kukidhi viwango vya…

Read More

WADAU WA MALEZI NA MAKUZI WAKUTANA MOROGORO

Na Mwandishi Wetu, Dodoma. Ofisi ya Rais – TAMISEMI kwa kushirikiana na Shirika la kuhudumia Watoto ulimwenguni UNICEF imewakutanisha Wadau wa Malezi na Makuzi nchini kwa ajili ya kujadili na kutoa maoni juu ya michoro na makadirio ya gharama za ujenzi wa vituo vya kulelea watoto wadogo mchana. Akifungua kikao kazi hicho kilichofanyika mkoani Morogoro…

Read More

Serikali itahakikisha Huduma bora za Afya kuwafikia hata wale wasio na fedha-Waziri Mkuu

 Na Pamela Mollel,Arusha  Serikali inafanya kila iwezavyo uhakikisha kuwa wananchi wa Tanzania wanapata huduma bora za afya hata pale ambapo watakuwa hawana fedha za kulipia. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameongeza kuwa, Tanzania inafanya jitihada zingine za kuhakikisha vifaa tiba pamoja na madawa ya kutosha sio tu yanapatikana kwa wingi nchini bali pia yanasambazwa katika kila…

Read More

MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR- KUMUWAKILISHA RAIS WA ZANZIBAR- MKUTANO WA WATUNZA KUMBUKUMBU NA NYARAKA – DODOMA

    Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla amesema kuwa utunzaji nzuri wa  kumbukumbu na Nyaraka unapelekea kwa kiasi kikubwa  katika kuchochea ukuaji wa uchumi na uwekezaji nchini.  Ameyasema hayo kwa niaba ya Rais wa Zanzibarna Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussen Ali Mwinyi katika Mkutano wa kumi…

Read More