Tumerudi tena, karibu sana, tulikumiss pia

Tunashukuru kwa uvumilivu wako wakati tulipokuwa nje ya mtandao. Sasa tuna furaha kubwa kutangaza #TumerudiMtandaoni! Kaa tayari kupata habari na taarifa za kuaminika. Tembelea kurasa zetu za mitandao ya kijamii na tovuti yetu www.mwanaspoti.co.tz. Pia, waweza kuhabarika kupitia bidhaa yetu mpya ya kidigitali, MwanaClick, kwa kubonyeza kiungo (Linki) kwenye bio yetu.

Read More

Sheria za Israeli zinazozuia UNRWA – athari mbaya za kibinadamu kwa Wapalestina? – Masuala ya Ulimwenguni

Sheria zinasemaje? The biliiliyoidhinishwa kwa wingi na wabunge wa Israel (92 kwa niaba, 10 dhidi) siku ya Jumatatu, ingepiga marufuku mamlaka ya nchi hiyo kuwa na mawasiliano yoyote na UNRWAna kuzuia wakala kufanya kazi ndani ya Israeli yenyewe. Kupitishwa kwa msaada huko Gaza na Ukingo wa Magharibi kunahitaji uratibu wa karibu kati ya UNRWA na…

Read More

SERIKALI KUWEKA MIKAKATI KWA VIJANA BALEHE KUFIKIA MALENGO YAO

 Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera ,Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi , akizungumza wakati akifungua mkutano wa wadau wanaotekeleza Afua za Vijana Balehe nchini (NAIA)kwa niaba ya Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum unaofanyika kuanzia 31 Oktoba hadi 01 Novemba ,2024 Mkoani Dodoma. Na.Alex Sonna, Dodoma. Serikali imejidhatiti kutatua…

Read More

TANZANIA NA AFRIKA KUSINI KUFANYA TAFITI ZA PAMOJA

NA FARIDA MOROGORO Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia inaandaa mpango wa pamoja wa mashirikiano baina ya Tanzania na Afrika Kusini wa kubadilishana wataalamu na kufanya tafiti za pamoja hali itakayosaidia kuongeza wigo wa ajira kwa Watanzania na maendeleo kati ya nchi hizi mbili. Hayo yameelezwa na…

Read More

MAFANIKIO, AFUA ZA VIJANA BALEHE NCHINI YAAINISHWA

Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi amesema Serikali imepata mafanikio mazuri kwa kuongeza idadi kubwa ya wanafunzi wanaomaliza elimu ya msingi kutoka 88% Mwaka 2022 hadi kufikia 98% Mwaka 2024. Dkt Yonazi amesema hayo wakati akifungua Mkutano wa Wadau wa wanaotekeleza Afua za…

Read More

WAYDS, GAET, TGNP WAIPONGEZA SERIKALI NA WANANCHI UBORESHAJI MIUNDOMBINU ZAHANATI YA NGUNGA KISHAPU

Mkurugenzi na Mratibu wa ufuatiliaji SAM mkoa wa Shinyanga kutoka WAYDS Charles Deogratius NA SUMAI SALUM – KISHAPU   Shirika lisilokuwa la kiserikali WAYDS kwa kushirikiana na GAET chini ya Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) linalotekeleza mradi wa  Uwajibikaji Ufuatiliaji wa Kijamii (SAM) limeipongeza serikali Wilayani Kishapu Mkoani Shinyanga kwa utekelezaji wa mapendekezo ya changamoto…

Read More