Jumapili ya kuchuma na Meridianbet ni leo

  Kama kawaida leo hii mechi mbalimbali za mataifa hapa Afrika na kule Ulaya zinaendelea huku ndani ya Meridianbet tayari wameshakuwekea ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000. Ingia na ubashiri sasa. Kusanya mpunga wako kwenye mechi ya Burundi vs Burkina Faso ambapo anayepewa nafasi kubwa ya kushinda leo hii ni mgeni akiwa na ODDS…

Read More

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN : KIONGOZI ANAYEWEKA TANZANIA KWENYE RAMANI YA MAENDELEO YA SEKTA YA MADINI

 Tarehe 13 Oktoba, 2024, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, alifunga rasmi Maonesho ya Saba ya Teknolojia na Uwekezaji katika Sekta ya Madini yaliyofanyika mkoani Geita. Hafla hii ilikuwa ishara nyingine ya uongozi wa kipekee wa Rais Samia, ambaye ameendelea kuweka mbele maendeleo ya sekta muhimu zinazoweza kuinua uchumi…

Read More

Sloti ya 100 Super Icy, ushindi rahisi wa kasino

  Unyama Upo Kasino tu, Jiandae kuibuka na Mamilioni kwa kucheza mchezo wa Sloti ya 100 Super Icy, unapatika kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet. Kucheza kasino unatakiwa kujisajili hapa kisha andaa mtaji mdogo upate mkwanja mrefu. 100 Super Icy ni mchezo mpya wa sloti wenye kusisimua kutoka kwa watengenezaji wa michezo ya kasino ya…

Read More

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Aipongeza TFS kwa Juhudi za Utangazaji Utalii Ikolojia SITE 2024

Dar es Salaam, Oktoba 12, 2024 — Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Dustan Kitandula, ametembelea banda la Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) katika Maonesho ya Nane ya Kimataifa ya Swahili International Tourism Expo (SITE) yanayoendelea katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mlimani City. Akiwa katika banda hilo mapema hivi leo, Kitandula…

Read More

WAKALA wa Huduma za Misitu Tanzani (TFS) umewataka watanzania kuchangamkia fursa ya Utalii wa Nyuki

  WAKALA wa Huduma za Misitu Tanzani (TFS) umewataka watanzania kuchangamkia fursa ya Utalii wa Nyuki, kutumia sumu ya nyuki kama tiba mbadala ya magonjwa mbalimbali ya kuambukizwa na yasiyoambukizwa. Mhifadhi Mwandamizi wa TFS kutoka Shamba la Miti Silayo, Juma Mdoe  amefafanua hayo wakati akitoa elimu mbele ya wananchi katika Maonesho ya Saba ya Teknolojia…

Read More

𝙊𝙣𝙚𝙨𝙝𝙤 𝙡𝙖 𝙎!𝙏𝙀2024: 𝙈𝙖𝙛𝙖𝙣𝙞𝙠𝙞𝙤 𝙈𝙖𝙠𝙪𝙗𝙬𝙖 𝙣𝙖 𝙐𝙢𝙪𝙝𝙞𝙢𝙪 𝙬𝙖 𝙐𝙝𝙞𝙛𝙖𝙙𝙝𝙞 𝙬𝙖 𝙈𝙞𝙨𝙞𝙩𝙪

    Onesho la Swahili International Tourism Expo (S!TE) mwaka 2024 limehitimishwa rasmi leo jijini Dar es Salaam, likiteka hisia za wengi kwa mafanikio makubwa ya kuingiza takribani wanunuzi 120 wa kimataifa wa bidhaa za utalii. Katika hafla ya kufunga onesho hilo kwenye ukumbi wa Mlimani City, Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dkt. Pindi…

Read More

RAIS SAMIA ACHANGIA MIL. 50 KUFANIKISHA UJENZI WA SHULE YA MSINGI NA UMALIZIAJI WA ZAHANATI INAYOMILIKIWA NA BAKWATA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amechangia kiasi cha shilingi milioni 50, katika harambee ya kuchangia ujenzi wa shule ya msingi na umaliziaji wa majengo ya zahanati inayomilikiwa na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania – BAKWATA mkoa wa Simiyu. Harambee hiyo iliyoendeshwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,…

Read More