
Hospitali ya Aga Khan wafanya matembezi mahsusi kuadhimisha siku ya Afya ya akili duniani
Taasisi ya Huduma za Afya ya Aga Khan Imeungana na Hoteli ya Serena, Dar es Salaam Pamoja aa Lisa Jensen Foundation kuandaa matembezi mahususi ya Afya ya Akili kupitia Mradi wa CHOICE Tanzania Kama mmoja wa watoa huduma wa afya wakuu nchini, Taasisi ya Huduma za Afya ya Aga Khan, Tanzania inaendelea kujitolea kwa dhati…