
KADA WA CHADEMA AFUNGIWA MIEZi 6 LESENI YA UDEREVA
NA DENIS MLOWE,IRINGA JESHI la polisi kitengo cha usalama barabarani mkoa Iringa kimemfungia leseni ya Udereva kwa kipindi cha miezi 6 kuanzia tarehe 7 mwezi 10 mwaka huu Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Vitus Nkuna (29) Mnyambo, mjasiriamali, mkazi wa Mwangata Manispaa Iringa. Akizungumza mbele ya wanahabari Kamanda wa Polisi mkoa wa…