
Rais Samia atua Mwanza kwa kishindo
Ziara ya Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan mkoani Mwanza imeanza siku ya leo na kwa umuhimu mkubwa katika kuimarisha maendeleo ya mkoa huo inatarajiwa kutoa fursa kwa wananchi kuwasilisha changamoto wanazokabiliana nazo moja kwa moja. Katika ziara hii, Rais Samia atapata nafasi ya kutembelea na kukagua utekelezaji wa…