VYAMA VYA SIASA NCHINI VYATAKIWA KUFANYA SIASA ZA KISTAARABU

Msajili wa Vyama vya Siasa, Mhe. Jaji Francis Mutungi,akizungumza wakati akifungua mafunzo kwa Viongozi wa Vyama vya Siasa kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024 leo Oktoba 12,2024 jijini Dodoma. Msajili wa Vyama vya Siasa, Mhe. Jaji Francis Mutungi,akizungumza wakati akifungua mafunzo kwa Viongozi wa Vyama vya Siasa kuelekea uchaguzi wa Serikali za…

Read More

DC: Ilala hali ni shwari uandikishaji

  MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amesema zoezi la uandikishaji kwenye daftari la wapiga kura uchaguzi wa serikali za Mitaa, Vijijni na Vitongoji wilayani humo, linaendelea vizuri na idadi kubwa ya wananchi wamejitokeza kujiandikisha. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Amesema wakazi zaidi ya 800,000 wenye sifa ya kupiga kura, wanatarajiwa…

Read More

Meridianbet yagawa mipira kwa Sinza Star FC

  JUMAMOSI ya leo Meridianbet imeendelea kuthibitisha dhamira yake ya kusaidia maendeleo ya michezo nchini Tanzania kwa kutoa msaada wa mipira kwa klabu ya Sinza Star FC. Mchango huu unalenga kukuza vipaji vya vijana na kuhamasisha ushiriki wa jamii katika michezo. Akizungumza wakati wa ugawaji wa mipira hiyo, mwakilishi wa Meridianbet alisema, “Tunatambua umuhimu wa…

Read More

Waziri Mkuu awataka Vijana kujiepusha na matumizi mabaya ya mitandao ya kidijitali

Na Mwandishi Wetu, Mwanza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewahimiza vijana wa Tanzania kuepuka matumizi mabaya ya mitandao ya kidijitali ambayo yanaweza kuleta madhara kwa jamii kwa kuhamasisha chuki, udhalilishaji, na utengano. Majaliwa alisisitiza kuwa hali hiyo haina maslahi kwa Taifa, kwani Tanzania inajivunia amani, mshikamano, na upendo kati ya wananchi wake. Akizungumza jijini Mwanza wakati…

Read More

TTCL Kujenga Minara 636 katika maeneo ya pembezoni ya miji

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) Moren Marwa akizungumza leo Oktoba 12, 2024 mara baada ya kutembelewa na Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Maryprisca Mahundi kwaajili ya kujitambulisha katika taasisi hiyo. SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kujenga minara 636 Tanzania nzima katika maeneo ya pembezoni ya miji ili…

Read More

Waziri Ridhiwan Kikwete aongoza washiriki zaidi ya 1,000 katika mbio za hisani za kumbukizi ya miaka 25 ya kifo cha Baba wa Taifa

WAZIRI wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Ridhiwani Kikwete wameongoza washiriki zaidi ya 1,000 katika mbio za hisani za kumbukizi ya miaka 25 ya kifo cha Baba wa Taifa Mwl. Nyerere zilizoanzia eneo la makaburi ya MV. Bukoba Igoma hadi Kisesa Mkoani Mwanza. Akizungumza na washiriki mara baada ya kuhitimishwa…

Read More